:oops::oops::eek::eek::D:D:([ATTACH=full]134392[/ATTACH]
Niliona bado nikiwa na six pack.
Niliona nkichat through smoke signal
Wakati IEBC ilikua inaitwa ECK
Kabla Demi na Mathathi wakutane
Hii tuliona wakati kapenguria 6 walikuwa njiani kwenda kapenguria
Tukiinvent the first light bulb
kabla nifike kisumu for the 1st time
Kabla Saul(Paul) hajue hujui
Kabla johna amezwe na whale
Baada ya…
just after apple ikwame kwa esophagus ya Adam ndio ajue hajui
tukiwatch news na luanda magere
kabla wajue kupika zipusi kutoka kwa waru