Gesture of appreciation muhimu.
Beyond that wacha akae na mama yake.
Unapata kijana ame hustle na kusave miaka mbili ama tatu alafu hiyo pesa inaenda tu hivo. Tofauti ya hiyo na kutapeliwa na
yule tapeli ni gani?.
Na bado wedding inamngoja.
No wonder marriages have no more joy.
Vijana epukeni utumwa!