mark Senior Villager Feb 4, 2015 #2 Feb 4, 2015 #2 Jimwat ameisha fashion.siku zake zilipita kitambo.
mariachi Village Elder Feb 4, 2015 #3 Feb 4, 2015 #3 wamejaribu....esp hio chorus ni tamu. na Das amekua soft - si ka enzi za esoteric hehehe
kev Village Elder Feb 9, 2015 #5 Feb 9, 2015 #5 ^^^hehe ati huyo mlanguzi ni whack...kwani we huskiza 'kenyan hiphop' gani? ningependa kuskiza zile vitu we huskiza ama kutema
^^^hehe ati huyo mlanguzi ni whack...kwani we huskiza 'kenyan hiphop' gani? ningependa kuskiza zile vitu we huskiza ama kutema