nataka mdem kama huyu kwa ile nat yangu.to attract customers
[ATTACH=full]121083[/ATTACH]
[ATTACH=full]121084[/ATTACH]
haha…wanakula lakini tu soon tutawakomesha
ii ni Embassava…uyo ni wazimu
Wachana na wao waliamua mimi nikulange sukuma wao wakikula nyama na gari ni yangu
so sad jo.but tunakazana tu.biashara ya matatu sio rahisi
Nishazoea siku izi sionangi kitu kubwa
thats the moral bro.coz tushaingia tunakazana tu na hii rotten matatu sector kabisa
this chic was posing for photos…
now she’s trendin…smh!! anyway,it doesnt mean ati io mat ikona customers @culture :D:D:D
But anyway, try your luck…it might work for you…
Hakuna kutoka mm isipokuwa hao wa carbanas na pale nyayo uko kwingine sacco husimamia
:D:D:Dnaonaga mat ziko na madem zikiwa na customers sana.ata kama wako tu hapo kutembea na mat for free
lol…huyo dem ndo atapata market na si mat…lol!!
kuna mat huitwa Titty Boy ya route 110.Ilikuwa na conductor dem na ilikuwa inabeba sana
sijakataa pia…pia kuna mat i know…missist huwa na dem…pia hubeba
Daaaaamn!!! The melons on her wacha 2. sigh:cool:
Kubeba si ishu. Swali ni watakuletea ngapi.
Mnafanya kazi na target…After fuelling…kulipa pesa ya sacco na kujilipa wanakuwekea 8k per day monday to friday…sato 6k na sunday 5k for a 33seater.37seater 9500 monday to friday.Sato 7 na sunday 6k.Thats sacco yenye mm niko izo zingine sijui
hapo sawa
That chokosh in the background looks like he was about to shine his eyes on those notes she’s holding