Happy Birthday mumu

Happy birthday mkuki wangu, happy birthday @mumu akee Mungu akupe kila hitaji la moyo wako uendelee kumtumikia vyema mama mchungaji wewe ukiwa mbele ya madhabahu yako ukinena kwa lugha, usiache kuniombea na mm siku moja nianze na mm kunena kwa lugha

Neno hili liwe faraja kwako ZABURI 71:1-2 Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye, uniopoe, unitegee sikio lako uniokoe

Yesu azidi kukulinda babe nakupenda

Happybday dearest mummulicious…may Allah grants u more years and happynes to u and all ur beloved one!

Oh,.woww jomonii hahaaa ahsante my shogaa,my mkuki,damu yangu,kipenzi,kinainai changu…we unajua venye nakuelewa saaana,. ahsante sana japo tuko ukimbizini acha tuu tujidai japo kidogo…Mungu atubariki sote atupe haja za mioyo yetu tuzidi kumtumikia kwa uamifu ili tupate mwisho mwema,.kumtumikia Mungu kuna faida mnoooo ww unaelewa na pamoja na yoooote tunaamini katika uwepo wake,.amina,.hahaaa nisiandike sana mwisho nikakosea…lav yuuu joooo much nikirudi town kitu cha Palestina lazima ki-hapenn woouzweeeeerr:D:p

Thanks sooo much my loveyy,…may Allah bless us all,.love yeww!!!

Allah-Akbar.

Hahahaha sio mwisho utakosea yaani mwisho utaharibu kabisa bora ulivyoishia hapo hapo wooooooooooozeeeeeeerrrrrr jamani nimemmiss ba mkwe wangu mm angekuepo hapa yaani kama namuona

Happy bday mumu

Keki wapi?

Jamani @mumu kazaliwa leo?

Happy birthday to you mumy…

Hahhahahaha hilo ndio umeona la muhimu kuliko yote @mumu ebu ukuje uku umjibu rayna

Hahahhaha yaani ulivyouliza ni kwamba hauamini au

Bday bila keki ni sawa na ulimi bila mate

Hahahahahhahaa nimecheka sana kwahiyo kama hakuna cake hakuna bday

Hilo ni shambulio la aibu kwa wahusika!!

Hahahahahha basi nahisi kwangu litakuwa zaidi ya shambulio la aibu mpango wa cake sina kabisa na simu nawazimia

Zima tu simu si utawasha tenaaa!ntakusimanga mpk ujute

Happy born day @mumu Mungu akujaalie kila lenye kheri na mafanikio tele! Na Mungu akupe amani na furaha daima uishi miaka mingi baby girl!!

Hahahahahhaah hata ukinisimanga imeshapita hiyo yaan kwakweli cake hakuna mm ninunue cake shunie mm

Ndio maana wewe nae unakuaga muongo muongo sana sasa usikute unatudanganya

More life dear:)bless you.

Hahahahah hivi nidanganye mpaka kwenye hili kweli mm ni muongo sikatai kuna vya kudanganya