HAPPY BIRTHDAY TOMMY LEE SPARTA

Wadau longtime.hope muko fiti,
thufata yuko ametulia tu hana neno.

ushawai jiuliza tukienda judgment day vile utasomewa makosa yako pale mbele
example unaingia unafinya machine kama ile ya bank then ticket number inatokea no.108

nachill kwa line hadi naitwa number 108 go to counter number 7

kufika angel anasoma jina sankara thufana junior, wewe uko na makosa 210…

lakini izi kwanza kumi ndio zinafanya uende hell

kosa la kwanza

1.kukula mgomba kama iko na konokono ndani
2.kukulana combi kwa double decker
3.kukulana HKM
4.Kukuwa pedi wa ngwati for over 12 years
5.kunyonga monkey kama uko zoom meeting
6.ile combi mulikula ule mrembo full nite
7.golf balls za uncle yako ulisanya ukaenda kucheza nazo kwa choo zika anguka na hukusema anything
8.kupost video za EBRUFICATION Online
9.kukopa online apps then ukikosa kulipa wakikupigia unajifanya mchinku unaongea jibbish
10.siku uli import kienyeji ikakunia bed yako ulifukuza same day ikaendqa nairobi na hangover na uka block yeye

happy birthday to me

Happy belated birthday mkubwa

Ikubambe Thufata

Kumbe ata huna makosa… Kama hujai pea singo matha hopes za pesa za kununulia mtoi maziwa, ukamkula alafu ukaingia karura, then you qualify for paradise.
Kama hujai ibia nyanya mzee pesa ukaenda ukaziwaste na useless stuff… Basi u are a friend of apostle paul.
Kama hujai kula kuku ya neighbor manyoya ukatupa choo… Oh saint sparta.
And many more zitamwagwa huku na elders.

Have a blast

Ati ulikula kuku ya neighbor? :eek::eek::eek:

Wat else do you expect from paruya ?:D:D:D atakula kuku yako ukicomplain atafune pia Bibi .wako na tabia ya kukula sana

Umesahau kusosi aunt dfhkmbhbl:D:D

Happy birthday sparta