Happy New Year

Since admin decided watu kama sisi wa mobile log ins hawataki huku kwa kijiji,wacheni niache hii salamu za New Year hapa juu nimeingia cyber kutafutana na madocument za KRA. I hope he,admin na wenzake are happy now that they have managed to alienate the non millionaires from KTalk.

Ningetusiana lakini mbarikiwe…

ubarikiwe pia…

Shida iko wapi???

Ndio hii Solution

http://www.kenyatalk.com/index.php?threads/a-solution-to-those-having-trouble-using-ktalk-on-mobile.15246/

Mimi nilikua nafikiria umepanda cheo ukagongwa na Tuk Tuk ndio maana ulikua hulog in. Happy New Year!!!

Infinix yangu z doing jst fine