Harassment ya Rais wa Tanzania Law Society na Polisi

https://www.youtube.com/watch?v=CqV5dfZceBc

Huu ndio undava wa serikali ya kidikteta

[SIZE=5][FONT=times new roman]Utawala unajua ni shida kuwanyamazisha TLS rais aliyepita aliwasumbua sana wakajaribu kumnyamazisha kwa risasi amekuja Fatma naye wanamsumbua. Tawala zisizopenda kukosolewa/kuambiwa ukweli hupata tabu sana zinaposhindwa kuweka watu wao katika taasisi au vyama vya kisheria kama TLS, mnaweza kuona jinsi AG anavyojaribu kuingilia/kupoka madaraka asiyokuwa nayo ili awe na nguvu ndani ya chama hiki cha wanasheria wa Tanganyika. Majaji wakuu wastaafu wamejaribu kumweleza namba moja madhara ya kupeleka bungeni miswada isiyozingatia haki na usawa au miswada kandamizi haina afya kwa ustawi wa nchi sina hakika kama aliwaelewa waheshimiwa majaji wastaafu ila walisema yao. Mwenye hotuba ya mwaka jana ya raisi wa TLS katika kikao cha dharura (extra ordinanary general meeting, June 30,2017 Blue Pearl, Ubungo) anaweza tupia hapa jinsi TL alivyoyaona haya yanavyokuja mbeleni na madhara yake kwa chama chenyewe na uhuru wa wanasheria wenyewe pamoja na judiciary. Tunakoelekea ni kubaya sana kama hakutakuwa na watu wenye udhubutu wa kuyapigia kelele maovu yote yanayotokea au yanayoenda kutokea maana bungeni spika kashawanyamazisha kama mtakumbuka katika moja ya hotuba zake kuwa awashughulikie ndani watolewe nje yeye atapambana nao mtaani ndo tunaona mlolongo wa kesi za viongozi wa upinzani kila siku mahakamani.[/FONT][/SIZE]

Hii nazani kabla hajawa rais wa tls

Unafuu alionao Rais wa TLS wa sasa ni kuwa tofauti na TL yeye anatoka royal family na hawezi kupata physical harassment na kulala selo kama commoners. Ndiyo maana mapema sana baada ya kuchaguliwa CJ alipewa kazi ya kumkaba na sasa AG naye ameongezwa kuwa mkabaji. Very sinister.

Utawala wa kishamba

Jiwe anahangaika sana

Tutaelewana 2

Utawala was kipuuzi sana huu

Matatizo ya kudhani kichaa anaweza kuongoza nchi ndiyo haya Mkuu.

if she wasnt married,i would have done whatsoever to make her mine and only mine,probably get married to her…she is my ideal woman

Inasikitisha sana…

Ila hayo yote ni maagizo kutoka juu…

Cc: @Mahondaw