hard disk problem

I have two naked ( without a cover 500 gb hard disks that used to be detected by my laptop and my ps4 but of late zimekataa naskia tu sauti niki connect but nothing appears . Nifanye aje can it be sorted ama all is lost coz I have some very sensitive clients info ndani saidieni na solutions hata kama ni kuni reffer kwa mtu ataniokolea .

Thanks .

kama zinatoa a clicking sound hizo zimechapa…especially kama uliangusha

Sensitive clients info na PS4 haziambatani…ngombe ya Wenger

if the data or info is sensitive enough contact East African Data handlers to recover it. In future store such information kwa cloud.

http://eadatahandlers.co.ke/
+254 711 051000

Lakini kama ni picha za momo unaita sensitive clients enda ukikaukanga

Sikuangusha but moja inatoa clicking sound okolea braza

Omwami hakuna vile zinaweza rudishwa zifanye kazi ?

enda kwa hao watu icecube amekusho but hiyo clicking sound kwa external harddrive inakuanga signs za kukufa

hard disc na flash disc zikishaanza kusumbua wachana nazo there is no way zitarudi back to form. even if they get back to form utakua unaishi on edge haujui kama hiyo presentation unayo afternoon itakua messed up zikiwa unresponsive. Recover the info and get new ones then use the old ones to store porn exclusively

Movie za 3d zingine huwa nimestore kwa hard disk then nawatch via ps4 coz niki connect direct kwa tv inahang .

Vigsd.

clicking noise indicates iko defective ama power problems best solution ni ureplace

Hio ingine hai click inarun tu

jaribu kureplace data cable

Fixed. Zianike pale telegram ng’ombe hii.
Usiulize mimi ni member since when, just know niko ndaaani

weka kwa freezer 24hrs it works

Bado omwami hai work

Sina freezer ama niweke kwa ile pot ya maji ya kunywa

hehehe, Omwami kwani uko leave ndo una chokora chokora kila kitu yako hujakua ukitumia, mpaka drive za tene na kuchokora 3ndi telebison, naona mambo yakiharibika hapa get back to ur normal shugli

Antie leave baba , ok imia konyagi kata amadh?

hehehehe hapo sawa from kesho gi weekend anyalo madho kongo, nikustue