Has anyone dealt with these guys??? I need advice.

sani

Village Elder
#23
biashara ya magari inacontrolliwa na wa pakistan na wako Mombasa, yard ya mgikuyu nairobi utagongwa. fika mombasa morning uzunguke yards lakini AVOID ao brokers wanakuaga uko,
 
Randy

Village Sponsor
#25
biashara ya magari inacontrolliwa na wa pakistan na wako Mombasa, yard ya mgikuyu nairobi utagongwa. fika mombasa morning uzunguke yards lakini AVOID ao brokers wanakuaga uko,
Kuna moja aliniokolea sana alionyesha mashimo karibu zote i only paid him 1000.
 
Top