Hasla allows import of eggs, chicken, milk from Uganda

johnpombe

Uhuru amefanya kazi buana!
#9
Hufai kufunga mipaka eti wakulima wachache wakuwe wana exploit wakenya na bei za juu, ilhali io bidhaa iko available Uganda kwa bei ya chini zaidi.
Why don't you say the same when maize farmers oppose importation of cheap maize forcing wakenya to buy unga at 230 bob while we could get maize from mexico unga ikuwe 70 bob?
 

Mzichi

Village Elder
#10
When you have an abundance of food, the well established cartels in the food industry lose their power.

And don't get it twisted, more people will benefit from the abundance than those that will lose out in sales.

Plus food abundance in a country as innovative as Kenya will push the sellers to manufacturing and value addition
 

sani

Village Sponsor
#11
Why don't you say the same when maize farmers oppose importation of cheap maize forcing wakenya to buy unga at 230 bob while we could get maize from mexico unga ikuwe 70 bob?
Huwa sibadilishi msimamo. Nilisema ile kitu Arror anachukia zaidi ni kuwa blackmailed na watu wake wa nyumbani, wenye wangefaa kuwa wanamsaidia. badala ya kuweka mahindi kwa soko bei ikuje chini waliacha wakenya wateseke.
 

sani

Village Sponsor
#17
So maize farmers wapewe subsidised fertiliser to cushion them lakini poultry farmers wajaribu biashara ingine? Isokei.
Food security inahusu grains zile important, maize, wheat na rice. izo serikali ikiuzia wakulima fertilizer ya bei kidogo hakuna shida, lakini sio saa zote.
ukulima ile ingine ni hobbies za watu, serikali haiwezi jishughlisha sana na wakulima wa kuku ama nguruwe.
nchi ikiwa imejitosheleza kwa major grains, ni ivo, mambo zengine zitajipanga
 

sani

Village Sponsor
#18
It's comments like this that make me convinced some Kenyans are braindead imbeciles. So you tax your own people to hell and then open your borders for imports? Good lord!
wewe unataka mipaka iffungwe badala uongelee taxation? Uganda haina izo taxes za kukandamiza wananchi. Toeni taxes za ufala, na watu wenu watafanya ukulima profitable ata mipaka ikiwa open.
 

majizee

Village Elder
#20
It's comments like this that make me convinced some Kenyans are braindead imbeciles. So you tax your own people to hell and then open your borders for imports? Good lord!
Yes. Because people have to eat affordably. In Kenya, animal feed (maize) competes with human feed (maize) - the Bagandans eat Lutoke and use their maize as chicken feed - so they can produce chicken more cheaply- Inaitwa economics 101.
 
Top