Food security inahusu grains zile important, maize, wheat na rice. izo serikali ikiuzia wakulima fertilizer ya bei kidogo hakuna shida, lakini sio saa zote.
ukulima ile ingine ni hobbies za watu, serikali haiwezi jishughlisha sana na wakulima wa kuku ama nguruwe.
nchi ikiwa imejitosheleza kwa major grains, ni ivo, mambo zengine zitajipanga