Kwanini hawajifunzi hata kupitia historia?,wale wooteee walio hamia ccm tangu akina mrema hadi dk slaa,bado haiwatoshi kujifunza?.
Au tandu nccr hadi cuf bado tuu jawajifunzi juu ya mfumo wa siasa za vyama vingi?.
Au hata zama za jembe na nyundo kushika hatamu,kua bado mawazo mbadara ya akina mrehemu mtikila yalikuepo!!!.
Ikumbukwe kua jamii inayowaza sawa na kutenda sawa kwa kila jambo ni jamii mfuu.na ni ujinga sana tena katika tanganyika hii kuwaza kutawala kwa mitindo ya rwanda au uganda.ni UJINGA WA KIWANGO CHA MAKINIKIA .
Huwezi UA simba wote kwenye mbuga za wanyama kitachotokea kitakua kibaya sana Kwa ecosystem ndiyo maana Mwenyezi Mungu aliumba vyote.matokeo utapata upinzani Wa chinichini ndani ya chama chako
hahahaha, manake hawa jamaa sijasikia ati wanahama vyama na kwenda kuunga mkono, na maisha yanaenda watu wanashirikiana, kisiwa kinasonga mbele, hukisikii kelele kama huku bara, mara kupigwa, kuuwawa, kutekwa, kudharauliwa nk