Hatimaye nimefika

Wakuu heshima kwenu

Hatimae nimeungana tena na familia yangu pendwa

Nina imani itarudi tu maana faida yake ni zaidi ya hofu walionayo wenye mamlaka kwani hata wasio na interest na politics tumekua affected

Ni vizuri karibu ukimbizini kwetu

Karibu KT pia waweza mtafuta masanii story za kapedo YouTube akakuliwaza na majanga ya kwenu.

Karibu KT

Shukrani chief