Have you ever noticed

Vile naona, watu kwa anonymous forums huwa na mashida mob tu sana. Ukiwa kwa social media, kila mtu anakuwanga na pesa, kila manzi ni msawa na jamaa wote ni mabingwa na kujichocha.

In reality, life iko hivi hivi. Angalia hapa mtu ana-post Gilbeys na bravado na hapa kwa nyumba nina 30 year old limited edition whisky…[ATTACH=full]18901[/ATTACH]

Team kebs kujeni hapa.

2 Likes

What is the retail price of that whisky?

ksh6000

How do we know ata wewe sio bravado? How do we know it’s yours.

1 Like

Nasi uende Facebook upost huku since wewe uko na pesa…! Haaaiiii…

4 Likes

hii hata si bravado, ni blathering…

1 Like

ulizaa?

1 Like

Sasa unataka aje

We kwenda brag kwa wanaokutambua buda,kila msee hucheza yake vile anajijua

3 Likes

Gloating.

2 Likes

Kutafuta matusi saa tisa ya asubuhi? Haya… Toka chini ya bed kumetulia

haha alafu ukute ni box ameokota kwa plot:D:D:D:D

12 Likes

Atoe hiyo whisky tuone imebaki kiasi gani? na hakuna kweka strungi!!!

5 Likes

:D:D

mostly hii ameiweka kwa nyumba kama artefact kwa meseum

chokosh apate doo ngapi bado ni chokosh tu … (hunter xp 2016)

2 Likes

Ngoja nicheke kwanza. :smiley: :D:D:D:D:D:D:D:D

4 Likes

MAHENI… Kumbe ni box umeokota kwa pipa la taka kama vile mollis amesema

Hehehe. Thats cold, bro. Chilling cold.