Hawa Ndio Wawekezaji Wa Serikali Ya Fisiem!

[ATTACH=full]179711[/ATTACH]

Huyo shivo amefanana sana na kibajaji.

:cool::p:p hawa jamaa tayari tumeanza kufukuzana hadi kwny mbege?

Mama mushi…tuongezee kubwa mbili hapa halafu waongezee akina whu xing pale kila mmoja kitochi.

Mkuu hii ni hatari

:D:D:D:eek:…

mwishowe wataanza kuuza mbege kabisa

Nimeitamani hiyo mbege

Hawashindwi hao kama waliweza uza mahindi ya kuchoma hakuna kinachowashinda!

Hatari sana!!!

hahahahahaaaaa