Hayawi hayawi ....

Thirimaii

Múndú Mwenda Andú
#2
..... mwishowe yakawa. Bora niulize swali moja, mbona huyo mlinda lango wenyu pale Misri kashinda analia lia maumivu.
Cha msingi ni kwamba bado tunawapenda nyie majirani zetu, ma kaka braza na ma sista du.
Stop massaging their ego,they are as fcuking as they come.Huwa na kumbuka kuna country inaitwa TZ ikitajwa mahali.Hii mambo ya kurambaramba nyuma za watu ndio ati wakupende uwache bwanae.Ati unajiita nani tena :D:D:D:D:D
 

Top