Hayawi hayawi ....

… mwishowe yakawa. Bora niulize swali moja, mbona huyo mlinda lango wenyu pale Misri kashinda analia lia maumivu.
Cha msingi ni kwamba bado tunawapenda nyie majirani zetu, ma kaka braza na ma sista du.

Stop massaging their ego,they are as fcuking as they come.Huwa na kumbuka kuna country inaitwa TZ ikitajwa mahali.Hii mambo ya kurambaramba nyuma za watu ndio ati wakupende uwache bwanae.Ati unajiita nani tena :D:D:D:D:D

Lazima nitafute hao ma sista du wao niwafanye vyenye engineer Olunga aliwafanya

Kama ni hiyo sawa,ata mimi nikipata wao napita nao

Mgurumishaji bajaj hodari, unataka usaidizi wa sister du katika uendeshaji kifikifi?

Hehe … khasia