Am looking for a 4*1 hdmi switch ,any idea where one can be sourced?
asande sana.
Mbisha ama sketch ukilook
1 Like
Following
olx
Kazana mjomba ,two more participation and you are Senior villager.
Au pigia me
Jamaa mwenye ameweka olx hashiki simu harudishi txts wala emails nkt!!
hao jamaa ni wawili dagitari,mmoja ako tu hapa cbd lakini ako na 31.aliye na 41 ALIKO CJUI AMA HATA KAMA NI ALIEN.Simu sasa ameikaba
shukran
nimebahatika nikapata 5*1
asande sana wadau
Wapi? Mangapi?
Huyu mujamaa nikutuchocha tu, sasa ameingia mitini
got it at moi avenue for 5500
hapana jali sana safcon bundles happened to get low .sasa niko connect anza kuzusa
Sawa mbuda, nmecheki umerudi. Thanks for the info lakini
picha yake tuione