Hebu taja kitu cha KIJINGA zaidi ambacho umeishawahi kukinunua kwa hela yako

Nilinunua Sabuni nikidhani simu kwa hasira hata sikuogea niliitupa

Waleti halafu sikuwa na hela

nilinunuaga suruali kwa mnada kufika home kufungua kumbe nilipewa kipande cha shuka

Condom halafu sikuitumia

Maji ya kunywa uhai, kumbe jamaa kaweka kandoro

nilikuwaga namuona baba akivuta nikawa najua ni tamu

Naona aibu kuandika

hahahaaaa…ze duduuuuu!!!ze dudu yu!ze dudu weeee!

Uchi

Eagle bia

miaka ile nikiwa shule nilitamani Nokia ya laki kutoka kwa teja kariakoo nikatoa 40000 nikiona nimewini nikachukua mzigo.

kufika mbele ya safari nafungua nakuta nimewekewa sabuni ya kuogea aina ya imperial leather ikiwa imechongwa umbo la simu. Kibaya zaidi ilikuwa hela ya kodi ya hosteli.

Andika tu maandishi hayana hisia

Una maanisha papuchi.?? hiko sio kitu cha kijinga mkuu, waulize wenye nacho @Sakayo @Shunie @Mzigua90 @Madame S

Smartphone ya techo

Hayuko serious huyo

Hata sikumbuki.

Ebu andika tu hivyohivyo

Aache kufananisha papuchi na vitu vya kijinga

Ebu kumbuka bana

papuchi inanunuliwa? inakodiwa kwa muda fulani? au inatunukiwa? msichanganye mambo kumbukeni huku tuko misri…

Aiseee

Hahahahahah
Siandikiii, unataka ucheke ama

Hahaha watu mnaki handle kwa care na kukitoa kwa msimu na mpangilio afu yeye anasema cha kijinGa

Watu tunahonga mel yeye anasema ujinga.

@Shunie mjibu huyu