hehehehe, xaxaxa generation

Status
Not open for further replies.

Lifeist

Village Elder
#3
Hata siwezi jisumbua! I have a niece who cleared highschool last year she used to send me texts with x....i called her nikamwambia never ever send me a text ikiwa na hiyo upus!
 
#10
kuna day flani a pal of mine alinitext morning "niaje bb" to my understanding i thought ananiomba blueband... nikamtext " sina " n he replied huna nini? nkamshow sina bb.... akacheka akanishow alikua ananisalima ati in full ni niaje baba
Huyo msee alikuwa anataka kukumanga rasa, anaweza aje kukuita baby...?
 

bjurmann

Village Elder
#16
Uko na ujinga mingi sana.Haka ka avatar kako huniua sana na kicheko.
Wako hapa pia kwanza vile shule zimefungwa.
Reminds me of a kyuk song back then called Pasonero(personnel). Pasonero watiitwo Ni andu iii akiambia Kuma muka thutha cuka...guku guku....
 
Status
Not open for further replies.

Top