watch this fight utafurahia hio knock out buanaa
You owe me a through pass.
isorait huyo jamaa anapigana leo pale show time
Hakuna kitu cha maana umeost anko uwes. Kuja nikununulie Jameson, niko hapa park road
hata ungepost wenger akiwa Kwa press conference…jinga
Huyo Wenger atazeeka lini upate peace na gunners wenza?
Wenger ni mpoa, hatuna shida nae, hizi nugu ziko nyumae ndio hatutaki kuziskia…