uyo sparta booking alifanya mapema, SGR ya 8am 25th
so juu ya kuchelewa kuamka nika amua on 24th nakesha pale the place nikisafisha macho na kumeza tusker ikifika 4.30am niende kushower nichukuwe bus to miritini bila kusumbua…
uko the place kulikuwa kumejaa hawa summerbunny wa nairobi ilikuwa kama naks vegas uko, heppi ilikuwa imeshika sana na momo hazikuchelewa kurombosa,
4.30 nikajitoa as planned mimi uyo shower chukuwa bag/nilikuwa nimepark hadi SGR … siku izi juu wanakataa fombe tunaweka whisky kwa chupa bila kusumbua…nilikuwa cabin 13 seat 69 nakila time mimi hukaa na wamathaa so l didnt expect anything different…
nasema nafika kwa seat nisome gazeti kawhisky kiasi then buy sandwich nilale kama kawaida…
kwa seat nikapata slay queen na mathaa na katoi, kawaida mimi husalimia wale tunakaa nao,mathaa akasalimika na mtoi. hii slay queen ilikuwa imeplung in earphones haikusalimika, nikasema ata sija-skia vibaya
nika-toa vitu zangu za kutafuna njugu crips gazeti mini lapi earphones simu na USB nikatulia bila kusumbua
na safari ika-anza l was very sleepy and tired ata gazeti siku soma page mbili, nikapatia jamaa next na nikajiwekelea…
niliamka pass voi, simu inapigwa tu jeshi ya gachie inauliza nafika saa ngapi tumeze muratina…nawashow by saa nane nitakuwa apo watuliye…
ringtone yangu huwa theme song ya money heist [SIZE=7]La Casa de Papel[/SIZE]
[FONT=arial][SIZE=7]hii apa
https://www.youtube.com/watch?v=N73sDPuxKQI
[/SIZE][/FONT]
ile slay ikaniongelesha ati l like that song beautiful goodbye
sparta akastuka sii hi fala ata ilikataa kunisalimia
nikajibu aaaaaah you know bella ciao
slay: am a big fun of La casa de papel
sparta: tokyo is my favorite
slay: professor does for me
iyo ringtone just like that ikakuwa icebreaker…
fast forward tukafika nai exchanged contacts na sparta akaenda kumeza muratina bila kusumbua
25 and 26th
on 27th ile slay inanitext mbona nime-nyamaza ivo… nikamshow niko gachie nimetulia, ikadai iko kasa club switch with girlfriends if l can turn up, nikajuwa sparta hii ni mtego ya kulipa bills
kafeeling kananiambia enda ukule mkia wacha ufala,
uyo sparta na beste edu hadi kasa, durex kwa wallet na high expectations
tulipataa imejaa sana ata sikuwai jua kasa huwa wanaturn up…
sparta na edu kaletewa viti na intro zika-anza we met on the train, bla bla mingi
this is edu my cuzo…wacha sparta apewe makali hajazoea wacha kamunyesho kashike…
edu anadai sparta tunaenda lojo gani?
kamunyesho ikashika na loud music ata hamuwezi skizana, sparta akasema atest waters kama nitaconfirm ama ni monkey business…
nika whisper kwa slay am so horny right now …slay ikacheka tu nikajuwa baaaas shuma inalala ndani ya parking
(wadau nimechoka)