Hekaya fupi ya Mpiga Picha & the mboch!!

Hapo zamani za kale (1990s) wakati smart phones hazikuwa kulikuwa na mpiga picha pale esto alikuwa anazungunga akipiga watu picha. His main customers walikuwa ma mboch since their bosses were not around during the day. Unapata mpiga picha na sana sana ilikuwa ni mkamba kadinyi named Mutua lakini ma mboch wamembatiza jina Mutush…

Mutush anakaribishwa kwa mansion na mbochiko anapewa ile juice ya ku mix na maji(treetop)…hii juice ilikuwa tuu inafa pewa wageni lakini since wadosi hawako mboch anapea Mutush…kidogo kidogo mboch anaenda ku change in her sexy outfit apigwe picha…mara mob mutush akiwa na njaa hakuwa analipisha mboch…instead anapewa slices.

Siku moja mutush alipiga mboch moja picha na akapewa slices…two weeks later on a saturday mutush akabisha mlango ya hio mansion…akafunguliwa na mwenye nyumba.kidogo kidogo akatoa hizi picha(attached) ati nimeleta picha za mwenye nyumba…yuko karibu?. mboch alifutwa on the spot

[ATTACH=full]51205[/ATTACH][ATTACH=full]51206[/ATTACH]

Dont put Your X on shoshio midia !

eish hii ni lugha gani @jiGRANNY ??

shurrup hii ni true story

typo

Hekaya ni poa, picha nooooo

Jirani acha chocha huyu manzi ni mwalimu huko Meru.

Alifutwa juu mwenye nyumba ndio alikuwa pia mwenye hio nyap ya mboch.

There were no DVDs in the 90’s

@Jirani umedepotiwa juzi kabla hata uomboleze kiasi unaanzana na mamboch?

Ulitoa wapi picha ya mboch ama wewe ndio mutush ?

Acha kuharibia uncle wangu kazi

Ktalk CSI at work 24/7

Hio na kamua kamu kamu

Hizi photo si za 90s…