Hekaya Hekaya Entertainment Mboyz Band Presents

:D:DInakaa nimejoin hekaya Mboyz sikuizi.Leo nataka kuwapigia stori moja sana sana inahappen na bachelors.
Ushawai tokea job umechoka unaumwa na kichwa unatami tu ufike home urelax.Unashuka stage unapata aaaah ata msee Wa bucha hajafunga bado,Unashika kanyama ya soo…haya! Teke teke hadi kwa mama mboga usipate amefunga.Unachukua tu supporting documents ivi ivi nyanya,kadania…Unapanda kejani hadi 3rd floor. Unaruka kwa sofa unafungua mnet kwanza unachat chat kiasi na warembo, saa tano ishagonga…aaah wanabore …Unachukua ngori zako unaenda kitchen kupika unapata hauna kiberiti. Unaaanglia time ni saa sita inaelekea ua immediate neiba hayuko na wale wengine bado hamjuani…unavaa kaboxer unachukua chwani ukatafte nare…hakuna haja ya kubeba Simu ni late sana unaeza patana na vijanaa …unakimbia kwa base ya keg unapata akina @Web Dev Reloaded bado wananyonya keg kwa straw.kwa hasira za kutembea usiku unanunua kiberiti zote za fifty Bob.kurudi unapata gate imefungwa … Kumbuka hauna Simu na unaishi 3rd floor na wee ni mgeni kwa ile ploti…ndo wewe huo sasa kupiga gate mateke:eek:
Mmoja anachomoka.ni nani? Ni Mimi…wewe nani unaishi nyumba gani ?kwanini hauna funguo na unajua unakuja usiku.pigia caretaker

Hamuelewani anaenda…unakaa pale unatamani kulia unacheka mungu saidia akina @Atwoli wasipite wanipate na boxer nnje ya gate …saa saba ishagonga unaona ka caretaker kametoka umalaya zake ndo kanafika saai…so hata ungekua na Simu umpigie hangekusaidia either way ur fucked.unapika saa nane unakumbuka ur 29 and still single:(.

16 Likes

unakumbuka chumvi pia haikua. …

2 Likes

:D:D

hehehehehe

KEB tunafaa kuwa na conference ya kurelax rules and fines kwa hekaya mongers. Angalieni hekaya murwa kama hii.

1 Like

na mi pia niko 29 …na sitaki kinyangarika till 35

usijihurumie

2 Likes

Ati wakina atwoli wasipite wakupate na boxer, umenichekesha deadly…

Mujamaa mkono imepona?

1 Like

hii hekaya umeiba wapi?? Moto sana

1 Like

Pato pwana, ulitaka ache muchamaa…??:rolleyes::rolleyes:

Bado uko hapo kwa gate makarao ndio hao :frowning:

1 Like

hahaha

UNATOKAJE NA BOXER KWA HAO UNLESS WE NI MUGURUKI

Solution ni kubuy lighter kadhaa, matches husahaulika sana.

Stop ma advice hazimsaidii. Akiwa na iyo boxer apatane na dryfry hizo lighters zitamsaidia aje joooo. …

Ferked up life right there. But very close to another I read that left me in stitches.

Exactly.

boxer,kwani ulikuwa unaenda kuuza mkundu?

based on a true story… hehehe

1 Like

Heshima muhimu tafadhali