Hekaya Hekaya.... Hekaya joo...

Wangapi wanataka niwachapie hekaya ya kadem tumekaanisha nako kwa matt toka mayakos mpaka town?.. Hand up…

wewe unafikiri tuko hapa tukifanya nini? kungoja vionjo? hapana…naulete na picha ya mapaja…

hapa naona watu wako na homa kwa vidole they cant type “n” where required…

1 Like

KAA NAYO

Hio jiekee

Hio hatutaki. Mass protest.

Haaya wacha nikanyakingie hio…

1 Like

mblo hekaya ikunje mplis lakini envidence ifuate ata risiti ya mbathi

Kukaanisha ndiyo kufanya? Kwani viti kwa gari ziliisha akaketi on your lap?

Me nataka hekaya za kilimani mums

Hapa ni kili dads

1 Like

Hii inasoumd kama mwalimu wa nursery akiuliza watoto “nani anataka ile hadithi ya sungura mjanja na fisi”:D:D:D

[ATTACH=full]14277[/ATTACH]

9 Likes

Hii nikanyakingie ndo nini?

1 Like

Hai, mbozzy weh, pokea shahada…[ATTACH=full]14321[/ATTACH]

2 Likes

:D:D

Hahaha