Hekaya! Hekaya! Hekaya njoo!

Hapo zamani za kale paliondokea kunguru kamili katika jiji flani mbali kidogo na Nairobi.

Kunguru mwenyewe alikuwa anatamanisha.

Jamaa fulani alikuwa anatembelea jiji akapata kunguru kwa bar akimeza bia na kunguru mwenzake huku wakicheza densi pale kando ya meza.

Akawaamkua.

Aliona kunguru huyo kumbe alikuwa amebeba bonge la tako vinoma. Face poa, kiasi.

Lakini tako?! Duh! Pia kiuno kikunio, mbuzi chambua nazi.

Akahisi kidogo kende la kushoto kukutuka, tena la kushoto pia. Unaelewa nini mkutuo wa kende?

Basi.

Akaonelea hamna haja tena kujiharibia wakati akitafuta kunguru mwengine. Akatulia kubarizi huku anamkatia kunguru huyo.

Kunguru naye hakumshusha roho. Wakakubaliana waende pamoja na huyo kunguru mpaka maskan.

Wakatoka.

LAHAULA!

To be continued.

I think you mean’t kugutuka mbara wewe

shipoto

Gutuka: amka kwa ghafla; kupata fahamu
Kutuka: Convulsion. Kuanguka na kutingika mfano wa mtu aliye ugua ugonjwa wa kifafa… Mkutuo= Convulsion.

Sijui kwanini nacheka

This is the best of swahili sanifu in ktalk?

English only

P

Part two ije kwa kasi aiseh!!!

Wewe ni kuma ya punda.

hahaaa wacha ngono iitwe ngono!!!