Hekaya

Hadithi? Hadithi?
Sa schemer vile alimaliza colle akadai hakuna kukaa mtaa ki mala mala akamua hustling pande za lightie(ma hustler wanaeza tambua) kwa io harakati nisha kaa kaa mpaka wakaniamini.so siku flani dosi(arif wa zamani) ashanichanua is vipi hesabu io macheda zilitengenezwa usiku alafu utapeleka kwa bank.mimi huyo teke teke ka ile machine ya kuhesabu nika maliza,nikamshow niaje nishakamilisha akanidunga acc number nikazi deposit.schemer ndio huyo na hundi pita ma chochoro fika kwa equity,nka jaza form sa kwa io harakati nkaona namba hazitoshi,nkajiuliza itakuaje.schemer ni schemer nikaongeza box mbili nkajaza namba izo hazikutoshea haraka stima.alafu nikajichapisha kwa line.10 mins line haisoni 20 mins ivo ivo.ikabidi niulize arif mwingine hudunga wera equity kwani form ni gani aahh akanichapia system ziko down,sikungoja ata sekunde dosi nkampigia nkamshow niko equity na system ziko chini.dosi aka lipua kicheko nkajiuliza form?? Ndio akanishow ulikuaunafaa kuenda coop bank.aaahh ndio maaana.nikajichuna skio.
Ni hayo tu kutoka kwa chumba cha habari.feel free to correct the slang.

12 Likes

[ATTACH=full]22123[/ATTACH]

3 Likes

bzzzzzzzz…bzzzzzzzzzzzzz

1 Like

Baby steps. Accepted for a new villager. Will give you a like for effort.

1 Like

[ATTACH=full]22127[/ATTACH] niaje NV?

3 Likes

umejaribu :smiley:

1 Like

Sema anko

1 Like

give the new villager a chance:D:D:D:D:D

2 Likes

Lightie ile moja? Kama wewe ni wa huko, wewe ni mkora.

1 Like

:D:D:D:D:D:D

1 Like

anko

1 Like

MIKORA WEWE KIJANA WETU

1 Like

once in a while, ingia hapo koch uguze tumatiti pia. inachangamsha bongo msela :wink:

1 Like

I always recognize a hustler. New villager or not.

2 Likes

mtu ani translatie vile hiki kimesema

1 Like

Haha a like for effort

1 Like

Poa poa

Let me give you all a like on this one

:D:D:D:D

1 Like

Hahaha I was expecting that you did a ghosty with the money. Nice one.

1 Like