Heko Mzito Matiang'i!! Nani Kama Wewe!!!

This guy’s reforms in the education sector are proving to be a major source of kunukisha kitunguu for those of us who run cyber cafes. Yaani nimekaa tu, sisumbui mtu, when this kid walks in with his mother. They then inform me that nowadays high school admission forms are posted online, so how much will I charge them? Nikaropokwa 200, saizo ata sijui what the hell is going on. Ku-Google mbio mbio nikapata kumbe zina-download-iwa hapa kwa hii site ya education ministry. Ku-download na kuprint chapchap, hako ka rwabe kakaingia in a span of less than 5 minutes.

Now I know what you’re thinking, 200 is peasant money, right? That’s not where the story ends, relax my friend. Kumbe huyo madhe sijui ameambia chama ama church members wenzake vile wametoa forms kwa “ile cyber huwa pale kwa corner”. Punde si punde, wamama na watoto wao wamepanga laini kama watu wanakujia msaada. So far nime-process 15 such forms, na vile naona inaeza fika 20. So 4k yenye sikua nimepangia itaingia hivyo tu hwaaa, on top of my daily sales.

Nani kama Matiang’i jameni? Sio HELB, sio KUCCPS, zote ziko online…anajali maslahi yetu saidiii. Alafu hii mambo ya digital pia, niliona sikuizi high school hazipei watoto assignment, wanaambiwa waende kwa the school’s website wadownload na kuprint hizo assignment. That means more kitunguu.

Wadau, leo nikinunua grilled shiken nikule polepoooole, ntakua nimekosea mtu?

I was thinking of starting meself a cyber biniz but nkaona with the influx of smartphones ntakua nalilia chooni, kimbe bado iko na mulla eeh?

kitunguu inuke, sawa boss!!

True, there’s one I know at a place called boroti… Huko Ndeiya, and the fellow makes some good cash…

Mtu asiwahi kutishia ati “ohh hiyo biashara imepitwa na wakati”, hizo ni vitisho baridi. Hata New York Cirry kila mtu ana iPhones mbili na bado kuna cyber cafes. Mimi huwa nimeinstall games kama GTA, NFS, Eurotruck na MotoGP kwa hizo comp zote, so ata adults wasipokam kubrowse bado watoto wanaingia kucheza. Na wengi wao huwa na hizo games kwa comps za kwao nyumbani but wanaprefer kukam hapo juu watameet watoi wenzao.
Alafu hizo smartphones pia zinaongeza sales juu watu wengi wanalia vile bundles ni expensive, so akitaka ku-update apps zake analipia wifi. Wengine hawajui ata kuinstall vitu basic ka Whatsapp, analipa umuekee. Mpaka kuregister watu kwa sportpesa and other betting sites, unalipwa. Some of the things you think are basic common sense to you sound very hard to some people.

Swafi kabisa

Hizi government services, mostly KRA, NTSA na sahii ministry of edu. zitawajenga sana. Hapo outside NTSA HQ kuna zile mobile cyber chini ya hema powered with a ka small generator. Printing hapo ni mia, combine that with vitu kama, registration, d.l renewal e.t.c inakuwa mia tatu

Willing buyer ,willing seller,hehe

Cyber cafe zitaendelea kuwa na life.
The other day went for my driving Test Thika.
Asked my manager wa driving school what I’ll need akani mis inform even after kuuliza mara 70.
Kufika hapo nikapata sina a few docs.
Had to download and print.
In black & white a page was charged 50/-
Huwa 10/- normally…
Nikasema haidhuru…wacha nchi ijengwe…
Nikalipa nikienda.

Hapo sawa

:D:D I knew it won’t take long. I was right jimit .

Utajuaje kama naulizia mzito flani hii area

:D:D I rest my case

Naona kitunguu ikinuka zaidi kwako. Early next year every student will have to be registered in a national system, NEMIS, that will track performance from nursery to university.

Ongesa kienyeji dryfry pia. You deserve.

Umesahau tot mbili za konyagi… Tujenge Kenya pamoja.

Najua unakulia kra pin na dl renewal sana

Pesa ya hizo mbili mi huhesabu kama manna from heaven :D:D:D

Dishi

People wrote off cybers but I knew they were not dying soon