Helen rudi tulee watoto

What would make a mom leave her kids. Women’s conference walisema bwana akihanya, mke ahanye times 3 but only with loaded men but bwana asiwai jua. Of course I don’t endorse that but that’s marriage nowadays.

https://www.youtube.com/watch?v=rRTUPGd3k6s

Lakini watu mumeoa ama mumeolewa, you have kids, you have hustle, ngombe, hii nguvu ya kuhanya nyinyi hutoa wapi? I’ve never understood. Time na energy ya kuhanya mnatoa wapi?

Lol. Ati huwezi ninyima chakula na kwa jirani kuna chakula. Lunjez wanajua kupeana story. Alienda kujisaidia nje. Ama Bibi alichoka na 15 rounds? @Simiyu22 Kuja huku please.

Kila mtu anatabia zake tofauti na za mwingine. Kuna Yule hata akipewa wake Kumi bado atatembea nje na kuna Yule hata hataki Mambo ya wanawake…yusawa Tu…Bora apate Amani…na aendelee kulisukuma guruduma la maisha

Sounds like a depressed woman. Hizo 15 rounds zilikua sawa for 7 years. Na neighbor alizipenda. If I was him, I would move on.

Even me I thought she was having some mental issues. Women are very chatty. This quietness is not normal at all.