Help ; LG Smart Remote not working

pipinono

Village Elder
#1
Hii remote imekataa kufanya kabisa tangu jana.

I Cant change the TV channels or enjoy Movie streaming.

Nikiweka batteries inatoa "hissing sound".

Saidieni...
78ebb34a-2d5d-450a-b530-bdee0e5bebef.jpg
 

kymnjoro

Village Elder
#2
Ulikojolea ukiwa umelewa..... pole
sasa fanya hivi, kwa ile jar unawekanga rice! tupa hapo ndani inyonye moisture yote then jaribu
 

Join the top dating website in kenya today!
Top