Heri nipewe story kuliko niwe story.

This happened earlier today in Busitema UG
[ATTACH=full]247968[/ATTACH]
ata kabra thermos ya gas isimame kila mtu including pamba kwa hiyo rd block awalikua 1 km away kaa wametake cover. Deree wa hii pickup was 5 kms away, hehe
haikua shida kubwa, its just That the liquid carbon dioxide pressure increased beyond limit and the safety valve opened.
mimi ningekua 40 kms away kwa border nikivuka, going up in a ball of flames is not appealing

Hii kama ni Kenya ndio ungetambua ng’ombe za museveni.

zitaiba aje Gas, would love to interview deree wa pickup, hehe
i know he is still shaken pamoja na abiria wake, ukiona hizi thermos always keep your distance

CO2 huwa si flamable ndugu.
It will infact extinguish any flame.

Mbona munahepa na CO2 cannot support fire hence chances for an explosion is none
[ATTACH=full]247991[/ATTACH]

tell that to all the guys who were there, life is precious.
deree wa thermos tu ndiye alibakia coz he knew that.

better safe than sorry, a smoking thermos is a sure sign of impending disaster.
ukiona @pamba na gun akihepa wewe utabakia?

My fren hata mimi owes njogea even if the tanker is labelled clearly. Hapa ni maisha kwanza hekaya baadaye.

Wewe nugu ndio dere wa hii pick up! Btw, I do understand that some transists or truck brands have auto transmitions. eg. MAN. Based on your experience, which one would you choose between auto and manual? In terms of performance, cost, reliability, durability?

Auto any time

saitaan, tangu ebora ipatikane UG sijavuka border, told Muarabu siendi na siendi, achukue gari aende yeye mwenyewe

hawa Ktalk scientist hawajipendi

This happened in russia a few yrs ago… i dont want to imagine what mayhem that tank would cause if it went kaboom.

https://www.youtube.com/watch?v=FG1LGKieTxY

mimi ningekuwa sudan

:smiley: @pamba akihepa hata mimi siwezi baki

haikuagi liquid? kuna lorry ilianguka pale mlolongo na wakatransfer lpg kwa lorry ingine.

wah hiyo ikihappen Kenya kutakuwa na mass casualties, raia itakuwa inakimbilia mtungi

Hapo hapakuwa na time kujua kama ni CO2 ama ni CO3

Ushawahi gonga puddle kwa corner doing 160kph ukasikia vile gari hubehave?