• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

high school memories

culture

Village Elder
#1
Back in high school kuna huyu teacher alikuwa amegraduate pale uon na kupata kibarua day school nilikuwa na alikuwa ananichukia yake yote.alikuwa anapenda fombe sana na alikuwa ameunga kiasi.nilikuwa nakaa pale nyuma and i will not brag .......i was not very good kwa vitabu.but who is laughing now .so any time akikam daro ananiita .culture wipe the blackboard.hakuna kitu nilikuwa nachukia kama hio...alikuwa anatufunza history.

najisukuma tu shingo upande napanguza lakini nikisema kimoyomoyo siku moja tutarejelea hii maneno.finally i was out of that hell of a school .f**k it.huko tu ndio nilitandika yule mother kibare .huyu mode alikuwa among wenye walinikujia mbio kunimaliza but nikarukia kwa dirisha.{hekaya niliandika hapa sitaki maswali}back to my story........mungu alalagi.. last week i saw the idiot along jogoo road akitembea.

nikampigia honi alafu nikasonga kando .akakam alafu akaanza kujifanya anikumbuki.nikamshow aingie kwa dinga tuongee tukisonga.kabla tufike pale doni mjamaa alikuwa ameniambia pole zaidi ya thartyfie hive.ati sikuwa na ubaya walai culture ni kujiskia tu vile nilikuwa nimemaliza uni.not forgeting to ask him wale madem wawili aliweka ball tukiwa 4th form.alicheka tu.kumbe fala alikuwa anatembea hadi kayole ata fare hana....

nilimchapa 1k alafu nikampea number nikamshow tutabonga.usitake ona vile mjamaa alinishukuru.akaniambia life imekuwa hard sana alipoteza hio job juu ya ulevi hio time................blablabla nikamshukisha hapo na.............
 
Last edited:

mikel

Village Sponsor
#19
No need to hate people from our past, especially teachers and lecturers....one exception is some bully whom I still find it hard to forgive...I still have a feeling tukikutana WWIII itaanza...and this is a cool 16years later
 

Top