Highest Paid Hiphop Acts of 2019

[ATTACH=full]261769[/ATTACH]

yaani nas the last album nakumbuka ni Nasir and Life is Good…but nigga still chapas top 20

travis scott ana shine na pesa ya bibi. betamale

Nas na Diddy hata sijaiona wakiimba…lakini wanamake top 20 cut…na vijana kama lil pump wako wapi

I love eminem and his rapping skills…also his writing is out of this world. The mastery of language and flow damn…

used to like Kanye’s old music…currently all I see is crappy music.

ule mtoi wa karashians family?

that makes two of us

Eeeh huyo…Kylie Jenner…Tyga alikamua hiyo kunguru after kutosheka na pesa akaondokea akaachia Travis Scott left overs

Karashians Family. Hii ni family gani?

This shows that the more talent you have the less you’ll be paid.

What did Kanye do to make more money than Jay-Z

ni mambo na kim kadashian

Yani Cardi B anatengenza pesa zaidi ya mtu amesomea literature ama music mpaka PhD. That woman just says random words in a song and then $$$$$.

Hii dunia sio fair.

eh madam,how did you manage to bribe admin for that title? sisi wengine tukijaribu tunatupwa Siberia bila huruma

:D:D:D:D:D
pamabana na hali yako

Lil Wayne navile rap zmejaa poetry hayuko hapo?
DJ Khalid is there for only shouting his name…and we the best…

sawasawa tu,sasa nimejua ktalk ina wenyewe

lil Wayne haukumbuki Ile wrangles na birdman,hio time he wasn’t too active,saizi ndo ameanza kurudi

What happened to @Smith_ ?

Also juu ni trump supporter…