Hii Boy imenunuliwa gari na G/friend wake as a B/day gift

Status
Not open for further replies.

Jirani

Village Elder
#1
Madame kama hawa upatikana wapi? Wako rare sana Kenya hii. Ebu semeni tuu ukweli ile gift ya maana dame / bibi yako ashaikupa for a B-day gift..me ilikuwa a pair of boxers na hapa kuna mwanaume anagitfiwa gari

baladies.jpg
baladies2.jpg
baladies3.jpg
ladies.jpg
 

Jirani

Village Elder
#8
kweli mbesha sabuni ya roho. shida wanaume ufisi tu utapata jamaa amebeba tusichana twa college kwa hio prado naye bibi awe ni wa nyeri hapo ndio unaskia transformer imeng'olewa pamoja na cables na poles zote
Unaweza pata the Boys famo pia sio chache, hauoni hio kitambi and he is only 30 that is why the rich only marry the rich
 
D

Deorro

Guest
#16
gifts mimi hata nipewe coca cola iko na jina langu la 60 bob ama unipatie peremende ya shilingi tano. i will appreciate it because it show that you had me in your thoughts. and will love you for it.
 
Status
Not open for further replies.

Top