Hii inatokea Tanzania Tu!

Msimamo wa timu zinazodhaminiwa na Sport pesa ktk mashindano yao

  1. Gor Mahia
  2. Simba
  3. Singida utd
  4. Kakamega
  5. AFC leopards
  6. Sharks
  7. JKU
  8. Yanga
    Hoja siyo timu kubwa kushika nafas ya 8 ila hoja ni mashabiki wake kufurahi timu ya 2 kukosa nafas ya 1 kuliko kusikitikia timu yao kushika hiyo nafasi ya 8 kati ya timu 8, hii inatokea Tz tu duniani kote!https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f59/1.5/16/1f60b.png

Wakikuelewa ulichoandika hawa wajaluo unitag nije nione.

[SIZE=7]Hahahaha ngoja ndala wajee.[/SIZE]

Ngoja wenye timu yao wakuskia

Hapo .namba 2 lini wataenda Godison park kucheza na Everton? Kagere mtu mbaya sana kawapokonya visa

yanga ya mzee Akilimali

Wote lao moja hakuna nafuu wala afadhali hapo

I like this stuff

This is Yanga Brother

Hahahahahaaa

Hmm!.. Utani mwingine mbaya aisee, vumilia tu mapovu kutoka kwa wafurukutwa…

Mmoja anaongezewa damu mwingine anasaidiwa na oxygen kupumua, wote gonjwa sana hao

Alafu cha ajabu wanachekana kila mmoja anajiona yeye ni bora

Huwa nashangaa sana hizi timu zetu, maneno meengi magazetini uwanjani utafikiri vijana wa UMISETA

Hahaha!! Hakuna lolote zimebaki kua timu za nyumbani tu na kutambiana wao kwa wao ila kuvuka boda hawawazi

Acha tu tushabikie timu za Ulaya maana huku kwetu ni zimebaki mbwembwe tu, watu wanadharau fursa muhimu sana ya kupata pesa ambayo inakaribia zawadi ya VPL kwa mechi tatu tu, na fura nyingine ya kucheza na timu maarufu ya England, wenzetu Wakenya ni watu wanaojitambua sana haachi nafasi kama hizo

Poa mkuu nafurahi kukuona tena

Na mimi pia nimefurahi kukuona tena japo katika nchi za watu mkuu, lakini ndio changamoto za maisha hizi

Nikweli kabisa mkuu ila Mungu pia ana mipango yake

Ni kweli mkuu