HII INATOKEA TANZANIA TU!

[ATTACH=full]180725[/ATTACH]
Ni Tanzania tu ambapo mdada anajua kabisa tarehe ya kuvalishwa pete ya uchumba (engagement), anashona nguo, na anakwenda saluni, halafu mwanaume mchumbiaji anapokuja na shamrashamra zote siku ya tukio, eti akitoa pete kumvalisha mdada huyo anajifanya kushangaa sana (SURPRISED)! Kuna mmoja alizimia kabisa wakatI ni yeye ndiye aliyetafuta mpaka sonara!
TUNAISHI KWA KUIGIZA!..

Ukiwa na demu mtazame kwa jicho tofauti kabisa, hawaaminiki

Hayo Mambo Ya Kuvishana Pete Bado Yapo Kwani

Nashangaa bwana

Aisee!

Babe naomba nikulambe kinembe kiasi, tena taratibu hadi upende

hahahaaaa,full maigizo.

duh! kumekucha

Hahahaaa ndivyo tulivyo mkuu, tatizo lipo kwa wanaume kwa nini msifanye suprise hadi mtutangazie

Tz bhn ukifiklia sana ujue hapo barua ishapelekwa kwa wazaz na imekubaliwa watu waneanda bajeti na waalikwa wanajua tukio zima

Oh tanzania ya viwonder

hahahaa tutapata tabu sana…

Wanawake wengi wa siku hizi ni kheri ajue siku ya kumvalisha pete kuliko kumfanyia surprise…

Unaweza mfanyia surprise, ukaambiwa hapana, kwanza tuma washenga kwetu, wajuane na wazazi, wakubaliane , wajibiwe alafu ndiyo urudi kunifanyia suprise ya pete ya uchumba sasa…

Cc: @Mahondaw

Hapo unakua umeji suprise mwenyewe au wakwe ndio wanaku suprise wewe,Hahahaaa

Sawa.

Nimebaki mdomo wazi

Hahahaaa. Lol. Hiyo ni zaidi ya kuigiza aiseee.

Itakuwa anawadolishia wale wasiojua yanayoendelea nyuma ya pazia.

@Sesten Zakazaka nimeiga lile neno lako hapa sijui limekaa penyewe? Hahahaaaa.

Hahahaaa. Wana Simba mnasemaga “this is Simba” na huku ukimbizini hii tunasema “this is KenyaTalk”

Na maisha mengine yanaendelea hapo yaani hakuna cha Mods kufuta Post wala kuedit Post. Teh teh

Mods wa Kenya tungekua nao kule JF basi kusingekua na haja ya kua na Jukwaa La Wakubwa, kila kitu kingekua hadharani maana wabongo ukiwaachia kila kiungo cha mwili kitaitwa kwa jina lake

Hahahaaa. Kwa hilo la kuvishana pete waeza kuta mdada ndio amelazimishia na mwanaume ye hakuwa tayari na ndio sababu yanatokea yakutokea watu kujinunulia pete wenyewe.

Hapa labda useme wanawake ndio tuendane na mwendo wao wa Kobe yaani mpaka pale wakiona sasa huu ndio muda wa surprise japokuwa kwa mbaali walio wengi wanaachwaga kwenye mataa. Yaani wanatumiwa mpaka basi na mwisho wa siku anasurprisiwa mwingine. Teh teh.