Hii kenya yetu balaa tupu

Aliye kua straika wa kenya zamani Bw Ali Koja akabiliwa na na tatizo la kupoteza nyumba yake kwa kushindwa kulipa 50, 000 ya kiwanja alipo jengea nyumba yake

mtu nikujipanga mapema brathe

Yeah,nikujipanga myfriend . That why baba abbie scrambles for lands like never.

But hii kenya yetu iko haraka kusahau watu muhimu

Yeah nikujipanga lakini hakikisha ngazi imeegemea ule ukuta ulitarajia sio eti ukifika juu ndio utambue. Tafakari ya Sonko!