Hii kwa wakimbizi wote kutoka Tz

Karibuni nyumbani jamani… kwa wakimbizi wenzangu atimae nyumba imetengemaa jabokua tumeezeka bati mbovu ila nyumani ni nyumbani tu

Hmm! Unapaswa kurudi kwa tahadhari…

Rudi mwenyewe.

Wengine bado tupotupo.

Naona JF inaniandikia “you don’t have permission to repply” hivi ni kwangu tu na nyie ni hivyo hivyo ?

Wewe rudi tu me nmeshanogewa huku, huko nitapatumia tu kama library

Kule nitakuwa msomaji tu. Hapa pananifaa zaidi

Me natafuta mke kabisa hukuhuku uhamishoni ili nipate uraia.

Kenya talk full shangweeeee

Kwa wote hiyo, kule unalike, unasoma na kuchat pm tu

JF sasa hadi umfuate mtu PM ndio mambo gani hayo

Jf kwa sasa ni Read Only, content mpya huwezi kuweka