I've seen this rubbish car before. Ile siku niliona nilitetesha madam kwa gari akaniuliza "unamblein nini?" I told her look at it! JUST LOOK! She though I was nuts.
I think tulichambua hii story kwa thread ya Mazda.
Ukinunua gari g**, usijaribu kuifanya ikuwe manly. Be proud of your jalopy.
Hii sasa ni kelele na ufala tu imejaa.