hii ndio takataka ilifanya niache pombe. imekuwa kila mahali siku hizi

[MEDIA=facebook]100005197801886/posts/1230991817084067[/MEDIA]

Hawa ni shaitani

kitambo ilikuwa once bahati mbaya, siku hizi ni kama ukinunua pombe lazima ukule mchele. am done bana, ata ya nyumbani sitaki. juu ukiwaka home unaskia zimeshika utoke

Ukiwkewa mchele itisha supu

hizo chems lazima bado zipitie ini na kidneys

Ukiwa Kwa pub usiongee na makunguru.

Ukitaka poa achana na fobe shikisha gomba. Sijaiskia mujamaa amesetiwa pishori kwa mbachu …

na uongezee avocado

Name checks out

Kula kabisa

meno nayo, enyewe labda hiyo. Am done with the alcohol meen

Kîhiiiiiiiiiiiiiiiii

pombe ni hasara