Habari zenyu note. Naona leo kijiji imetulia sana najua ni hangover pia mimi Leo nimeamka kichwa naskia ni kama DI TICHA amefungiwa huko ndani akicheka cheka na kupiga kelele zake huko nkt! Back to story, hii pussy imenizoea yaani nyama ya mwisho kameiba kabla niunde sandwich… Evidence ndio hii …
.
Cheki kanachungulia kazi ni kunipima Pima. 11.01am[ATTACH=full]4644[/ATTACH]
3 Likes
11.03am… Kuja hapa! [ATTACH=full]4645[/ATTACH]
11.08am…Si mimi, si mimi! [ATTACH=full]4646[/ATTACH]
Like a boss. Bora Nimeshiba[ATTACH=full]4647[/ATTACH]
Ilibidi niite vuja de. Amalizane nako [ATTACH=full]4648[/ATTACH]
Good day talkers. Take care nimeenda zangu kunywa[ATTACH=full]4650[/ATTACH]
hebu sema kile unakunywa nikimbilie kabla hawajafunga
[ATTACH=full]4651[/ATTACH]
[ATTACH=full]4655[/ATTACH]
4 Likes
I can see a Dick head ??
haha ati caturday
Poa @Col Kakende hehe
Ata kama ni junkie… english,
:D:D:D
[ATTACH=full]4719[/ATTACH]
1 Like
COL MAKENDE NIAJE?