Hii Stori ni ya Ukweli?

Ati gatheca alibugia fobe kule vihiga akaambia mudavadi yeye ndo ataachia kiti?

Kwani madvd hakukuwa na kiti?

Poritics

Sio MaDVD pekee amepromisiwa hio kiti, kuna Raila, kalooser, gidi ata wetaa…pengine hadi Ngilu

Haiya, ataachia nani sass

Hio kiti sio yake ati awachie mtu. Kama ni yeye atawachiana basi kura ya wakenya ya rais ni ya nini ?

You think the vote counts?

The guy is always high ama ii maneno yake alisema ka zake zimeshuka?

Politricks rather

Kwani Mudavadi hakuwa na pombe, ndio aachiliwe muzinga na Gatheca?