Hii wizi ya relay

Naskia hii round I gari keyless zinaibiwa in less than a minute…through relay technology

Endelea kuskia tu…

Hii ndio ubaya ya dry spell…

Kuna thread pale chini “gone in 60 seconds” mambo ya ajabu. Check it out

Nimetafuta hii thread na siioni. Weka link Senior.

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/car-gone-in-less-than-60-seconds.63727/

Getting a car to start is one thing ,delivering it to the destination is what matter.Right now Niko hapa Naivasha Police Station on a case ya driver alitumia ukora Ku hire out gari sio yake.Alijua hajui Jana usiku .

Leta hekaya

kwanza hizi zelf driving mtu anaeza kukidnap without having to be there

Possibility iko high. High profile individuals watahitaji kumaintain funguo while everyone one else anakimbilia keyless vehicles and self driving cars, maybe. Prezo ama CEOs wanaweza bebwa hivyo tu.

Me hata nashangaa mbona companies are wasting resources on driverless cars(ok i know the vision of driverless cars means safer roads in future kama the movies) But still starehe ya gari ni kuendesha mwenyewe.

It’s a lazy technology that is very insecure . You drive away , it tells you it cannot detect the key in the car , you press ‘OK’ and unaendelea kuenda tu na gari . Only good thing is that mwizi akisimama na azime gari , hawezi start it again but after all , mwizi ni kuenda teke teke non stop .