Hili la huyu Mbunge wa Kenya haliwezi ' Kuigwa ' na Wabunge wa Tanzania ili wengi wetu tuoe?

[FONT=courier new]Mbunge mwakilishi wa Wanawake katika Jimbo moja huko Kenya Beatrice Adagala amesema kuanzia sasa atakuwa anawatolea / anawalipia ’ Mahari ’ wale Wanaume wote wanaotaka Kuoa lakini hawana Pesa hiyo. Nadhani huu mtindo ukiigwa pia na Wabunge wa Tanzania Wanawake litakuwa jambo jema na la ’ mbolea ’ mno.

Nawasilisha.[/FONT]

na bado wanaume wa kuoa hawatapatikana amini nakuambia

[FONT=courier new]Kwahiyo ’ tatizo ’ ni nini labda Mkuu?[/FONT]

Hivi ukiangalia nyuso za Wabunge wetu pale mjengoni kuna hata mmoja ambae atathubutu kutoa tamko kama ilo mkuu?

Kuna wengi pia hawajaolewa,hizo guts za kutolea mahari zitatoka wapi?

Tatizo sio pesa ya kuolea, ila pesa ya kuendeshea maisha na pia mwanamke mwenyewe

Tena wengine ndoa zimewashinda kabisa

Hilo kwa Tanzania haliwezekani, tupo busy kukusanya mapato kwa watakao taka kupost video kwenya facebook page zao…

Bundle la kupost video Tzs 500 (Mia Tano)… kibali cha kupost video Tzs 3,000,000 (Million Tatu)

Cc: @Mahondaw

Ni kweli itasaidia wanawake wengi waolewe na kupunguza wimbi la wanawake wasio na wanaune kuiba waume za wenzao walioolewa…

Tumezoea malaya na pombe

Mh

Suala kuoa kwa sasa ni issue. Endapo kusingekuwa na kina dadapoa wengi wangeoa. Na hii Tabia ya kupost ugumu wa maisha unawafanya wengi wapotezeeee

Tatizo sio mahali

Mahali=mahari

Mkuu umenifurahisha kweli…heheheheheh eti ukingalia nyuso zao…?

Hahahahah
Yajayo yanafurahisha
Mtukufu malaika anazidi kushangaza ulimwengu

Imekaa vizuri hii

wanawake wa kuoa wapo?

ngoja nibadili uraia niwe mkenya … nadhani huyo mbunge atanisaidia sana siku za mbeleni…

[FONT=courier new]Kama Dada zako mpaka leo wanaelekea Saa 12 jioni ( Wanazeeka ) bado hawajaolewa usidhani kwa Wanawake wote ndiyo iko hivyo tafadhali.[/FONT]