hio list iko wapi ?

Wapi hio list ya kampuni wakenya tunasusia ambayo zinapromote impunity ya serikali ya corruption ? . i have just tasted BROOKSIDE milk and it tasted like chieth karibu niinue bibi kofi nimemwambia akinunua hio maziwa tena namrudihsa kwao nyeri .

Najaribu kuangalia CITIZEN tv na naona tu blurred images ni kama inaniharibu mecho but NTV nikiweka iko tu sawa . line ya Safaricon nimetupa including the MPESA balance , kwanza wametuibia sana we just needed such kind of a revolution to deal with them ( ya equitel nimecheza chini kwanza due to technical issues ) …

@mukuna kindly avail the full list of companies tuanze kukaa ngumu .

Naskia ata Ktalk iko kwa list

Hehe mko na shida ma militia

Just to remind you tomorrow you may turn up at Muhindi’s place only to find that he has a new driver.

tunahama pia

hapa msakulu ndio shida itaingia

bukusu ngombe tulia na ukule hio ugali mama clichy amekupikia na baadaye kachai na maziwa hio hio ya brookside

:Dameoa shinny eyed.kwisha wewe

i was fired on saturday. Nikutumie cv? niko saidi mbaya saidia

nilifungwa mecho watoto wakazaliwa banaaa

Wamesema internet yote ni ya Uthamaki so sijui uhame Kenya sasa

Anko sema tu hapo kwa Equitel unaona kuboycot ni kama kuchoma kisiagi yet unadai sembe

mukwasi niaje?

:D:D:D:D:D:D:D

:D:D:Dvumilia tu.but ile siku tutasikia something happened to you hatutauliza mbali

Sosi Unga ya 90/= ulale

semeji niko ngangari , kujia dada yako baba amesema

hata hizo ARV’s unamezanga ziko kwa list

Your landlord is top in the list.

i own my house , jinga aviachieth , and its top ON tHe list si IN . NYANGAU