Hivi hamna hii application katika google play?

Nauliza hivi kenyatalk haipo google play mana sisi tuliokuwa jamii forum tulishazoea kuitoa application google play mods tunaomba ufanye kitu kama haipo.

Hatuhitaji admean kututrack ovyo ovyo.

haipo google play?

Keti pale~~~~~~~~~>>
Meffi wewe

[ATTACH=full]175427[/ATTACH]

Atakutrack vipi, ebu fafanua jinsi atakavyokutrack

kweli bila app hapa kazi… alafu wamejaza matangazo vibaya!!

App huwa iko fast sana kuperuzi majukwaa mbalimbali kwa muda mfupi kuliko web, sijui kama watakubali kuitengeneza

nini maana ya meffi?

kwa jinsi nilivyomuelewa
web based app inaweza kua embedded na codes za ku fetch mac address(au chochote kilicho kua linked up na gps) na kuweza ku pin point location yako!
…ila kwa kutumia browser, ni ngumu!

SkyscraperCity ambayo ni forum kubwa Duniani wana App na sijasikia watu walalamike kuhusu hilo.

Huo ni uoga tu.

majukwaa yao hata hayaeleweki sioni majukwaa ya michezi pia matangazo makubwa yanatokea hovyo kifupi wanakaxi ya kufanya kuiboresha hii forum yao bado wapo nyuma mno

Ni kweli mkuu…mpangilio wake sijauelewa kabisa…matangazo kila kona. Daah ila tupo ugenini tukubaliane na hali tuliyoikuta.

Kule thread zao nyingi ni permanent, ndio maana vitu vipya vinachanganywa sana na vitu vya zamani

Uzuri kila nchi imetengewa jukwaa lake, ni vyema Moderator wa nchi husika wakabuni namna nzuri ya kupangilia majukwaa yao ili yalete ufanisi mzuri kwenye kupokea habari na mamboa mapya yanayotokea kila muda.

Kingine wanadeal sana na masuala ya projects sana kuliko habari zingine za kila siku kama ilivyokuwa JF

Namuona the tweet ni mod…ni the tweet yuleyule wa jf amaah

Hapana sio yule wa JF

Jamaa kaukwaa U-mod jana tu, alikuwa anatumia ID nyingine kabisa, yeye kajiunga humu tangu 2016 na kule JF amesema alikuwa verified user.

Ukongwe wake hapa ndio umemfanya awe Mod maana angalau ana uzoefu wa hii Forum

Aiseee…

Aiseeee…ila ni viziri kama mamod wakiwa wa jukwaa la jf wakiwa wabongo hii itasaidia kudumisha utamaduni wetu huku ugenini. Wakenya wanatukana sana aseeee…

Ndio kilichofanyika sasa

Aisee unashida?

Haahaaaah kikenya hicho mkuu