Hivi JF Original Haina Habari Mpya?

Nimekuwa nikitembelea JF tangu imefunguliwa kutoka kifungoni. Lakini habari nyingi ni za Juni 6, 2018. Hivi ni mimi tuu ninayeiona hivyo au kuna mizengwe ya kuzipitia upya habari kabla ya kuziposti? Au kuna zengwe linaendelea?
Naomba wajuvi mtudadavulie.

Nami Naona vivyohivyo mkuu

Bado haijarudi kikamilifu na wala huwezi kupost chochote kwasasa mkuu…

Ha ha, Mkorosho kigoli.

Nadhani sababu DM zinafanya kazi, inaweza kuwa ni njia nzuri ya kupeana habari kupitia inbox kuwa tupo ugenini

Kitu leo kitakuwa hewani rasmi, jf Og.