Hivi mwanaume unabebaje ki "nainai "???

Hii fashion siielewi kabisa…Sijui niwaite wanaume sijui wavulana sijui watoto wa kiume, ila ni hii jinsia ya pili ambayo sio wanawake. Mnawezaje kutembea umebeba kinainai na upo comfortable kabisa unazurura nacho? Mie mbona naona ni pure kitu cha kike au mie tu nakomploketisha mambo!!!

Nishapishana na hao jinsia hiyo mara tatu sasa naona wanatembea wamebeba hivo vi nainai nasimama kabisa kushangaa, nimewaona dar tu lakini sio kwingine.

Kwa wasiojua vinainai ni vipochi vidogo vina mikanda mirefu, unakivaa kwa kupitisha kifuani yani hakikai begani. Hii fashion ni sawa kweli??!!!

aseh! ukieka kapicha itapendeza zaid

Ukiona kabeba hicho jua choko hilo

First time kumwona jamaa amevaa hivyo nilijua wako na dem wake so kambebea mkoba.

Siku nyingine nimemwona dogo mwingine kakibeba nikaambiwa ni fasheni, nilisikitika sana.

Currently Hasheem Thabeet yuko town na anatembea amekivaa, nimeelewa kwa nini NBA ilimshinda.

[ATTACH=full]177804[/ATTACH]

jamani!

Halafu wewe sijakuona muda sana, ban imeisha au umeachiwa tu haraka.

Sikua nimepigwa ban,niliweka avatar ya ban!
Halafu sasa nilikua nataka kubadili email ikawa inagoma nisiingie Yale ma Reconfirmations yanasumbua mpk Jana nkatumia email ya mwanzo ndo ikakubali na nkatoa ile avatar!

Nimekupata, nilijua uko banned.

Yes hivi hivi vipochi hii fasheni inanishangaza sana sana, serious inaleta muonekano wa kishoga

Okay !!mzima lakini?!!

Possible kabisa, hii fashion no kwakweli heri waendelee kuvaa vile vibukta vifupi ila sio hizi nainai

Ukijaribu kutafuta chanzo, si ajabu ikawa walianza kutembea navyo mashoga kwa ajili ya kutunzia zana zao za kazi kama mafuta nk.

Mzima kabisa…

Hahaaaa

Hahahaaaa!

Vijana wana tabu sana zama hizi

Ki nainai…

Hao ni wanaume -1

Miaka ile watu walitumia sana ila hakuna alie hoji ila leo tunahoji mie sijui n vyakina nani

walibeba pochi?.kumbe!!!

walibaba ndio