Hivi nini hatima wa hawa mahayawani wa kisiasa Tz?

#1
Nimefikiri hadi basi. Eti ccm inapata 95% katika uchaguzi!???
Hata kama ni wizi ni ule ambao shetani atakana. Tufanyeje?
Lisu alituonya kuwa hayawani mkuu anatafuta sababu ya kuipiga marufuku CDM kabla hajarudi. Tufanyeje makamanda?
 
#3

Kwa hali hii Tanzania inaelekea kuwa nchi ya chama kimoja kama China...
 
#5
Nadhani tumeanza kuchukua hatua jana baada ya Mh. Mbowe kutangaza rasmi kutoshiriki chaguzi zooote ndogo ndogo.

Bado tunaweza kufanya mabadiliko, naamini ni swala la muda tuu.

Nilipenda kauli hii ya F. Mbowe, " tusijaribu kuvuka mto ambao bado hatujaufikia".

Ni wakati wa kutumia akili zaidi, wakati huo huo tujizuie mihemko na jazba!!
 
Top